Hadithi Halisi ya Yesu
Tazama hadithi halisi ya Yesu
Ukiomba maombi ya wokovu sasa wewe ni mtoto wa Mungu.
"Kama ukikiri kwa kinywa chako kuwa Yesu ni Bwana na ukiamini moyoni mwako kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka." —Warumi 10:9
Unaweza kuomba nasi hivi sasa kwa wokovu wako:
Mungu Mpendwa, Ninakiri kuwa Yesu ni Bwana. Ninamini kuwa alizawa na bikra, alikufa msalabani kwa ajili ya dhambi zangu, na akafufuka kutoka wafu siku tatu baadaye. Leo ninakiri kuwa nimetenda dhambi dhidi yako, na hakuna kile ninachoweza kufanya kujiokoa. Ninaomba unikoe, na ninamwani Yesu peke yake. Ninaami kuwa sasa hivi ni mwana wako na nitakaa nawe daima. Niongoze kila siku kupitia roho mtakatifu.Nisaidie kukupenda kwa moyo wangu wote, roho na akili na kuwapenda wenzangu vile ninavyojipenda. Asante kwa kuniokoa kupitia kwa damu ya mwanao, Yesu. Kwa jina la Yesu ninaomba. Amina.